.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Kim Kardashian na Kanye West mambo safi




Wakati wakitoa utabiri wa kupatikana kwa mtoto Desemba 25, mwaka huu, mambo yamewanyookea Kim Kardashian na Kanye West kwa kupata mtoto wa kiume waliempa jina la Saint.

Wazazi hao hawajatangaza rasmi jina la mtoto huyo, lakini Kim alikuwa wa kwanza kuweka mtandaoni jinsia ya mtoto huyo waliyempata.

"Kanye na mimi tumebahatika mtoto wa kiume," alisema Kim

Mastaa mbalimbali wametuma ujumbe wa kuipongeza familia hiyo, huku mashabiki wao duniani wakisubiri kwa hamu jina la mtoto huyo wa pili katika familia hiyo ya mastaa. Hata hivyo jioni mitandao mbalimbali ilitangaza kuwa jina la mtoto huyo ni Saint.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad