.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Nicki Minaj awashukia wabaya wake



Nicki Minaj amewaponda wabaya wake wanaodai kuwa eti mafanikio yake yanatokana na umbo lake lilivyo, hasa sehemu za makalio.


Rapa huyo mwanamke mwenye mafanikio alikuwa mkali wakati akiwananga watu hao na kusema mafanikio yake yanatokana na kipaji alichonacho na siyo kwa sababu 'Kiwango bora' cha umbo lake.

Ilidaiwa na wabaya wake kwamba, kimwana huyo - rapa bora kabisa wa kizazi cha sasa amenunua umbo kwa maana ya kuongeza sehemu za makalio ili kuwavutia mashabiki.



"Eti makalio yangu ni moja ya mambo yanyonifanya kufanikiwa kwenye muziki ...wana akili watu hawa? Nadhani makubalika ndiyo maana wanashindwa kufuata moto." alifyumu Minaj.

"Kelele zao haziwezi kunifanya nishindwe kuendelea kuwa bora katika muziki. Chuki yako kwangu ndiyo inayonifaidisha," aliongeza kimwana huyo mzaliwa wa Trinidad.



Minaj anasema katika muziki kuna mambo mengi: "Watu wazuri wanapenda uendelee kufanikiwa, lakini watu wabaya wanataka ubaki ulipo au udondoke chini kabisa."
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad