.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Usher Raymond afunga ndoa na Meneja wake




Mkali wa RnB nchini Marekani, Usher Raymond, amefanikiwa kufunga ndoa na mpenzi wake Grace Miguel.

Grace ni meneja wa msanii huyo ambapo walianza uhusiano wa kimapenzi tangu mwaka 2009 baada ya msanii huyo kubwagana na mpenzi wake, Tameka Foster, mwaka huo



Tameka alifanikiwa kupata watoto wawili wa kiume na msanii huyo ambao wanajulikana kwa majina ya Usher V na Navivyd Ely.

"Alikuwa meneja wangu kwa kipindi kirefu, lakini kwa sasa naweza kusema kuwa ni mke wangu, alinisaidia sana katika kazi zangu za muziki, kuna wakati nilikuwa na hali ngumu katika muziki ila aliniokoa kwa kiasi kikubwa na nikaona niwe naye katika maisha yangu," alisema
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad