.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

OFFICIAL VIDEO: WIZ KHALIFA – ‘SO MUCH’



Wiz Khalifa amewapa suprise mashabiki wa Taylor kwa kuachia nyimbo mpya iitwayo "So Much". Video ya nyimbo hii inampeleka Mister Cap nchini Dubai ambapo anaonekana akimlisha chui mtoto na twiga, pia ameonekana akiendesha ATVs katika jangwa la Dubai, huku akiwa pembezoni mwa bwawa la kuogelea, akiwa anaonekana mwenye furaha akiwa amevaa bukta nyeupe na shati ya chui chui.

" I got so many people tyna rep my gang/ and i love em all the same," ameimba Wiz. 

Wiz Kalifa na Juicy J wamepanga kuachia album yao walioshirikiana iitwayo Rude Awakening iliopangwa kutoka wiki ijayo 3/Juni/2016, wakimshirikisha kwenye single ya "All Night" pamoja collabo na Project Pat.


Mwezi ujao Wiz na Snoop watazindia "High Road Summer Tour" wakisindikizwa na Jhene AikoKevin GatesCasey Veggies, na Dj Drama.

Angalia Video ya 'So Much' Chini.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad