Wiki moja baada ya kuachia audio kali ya 'Cash Money', Tyga ameamua kuachia video ya single yake mpya 'Cash Money '
Akionekana akiwa na kundi lake la 'Last Kings' pembeni, T-Raww atarudi tena kwa kishindo katika mixtape yake inayokuja 'B*tch Im The Shit 2'
0 comments :
Post a Comment