Mnamo mwaka 2015 tarehe 3 Novemba mji wa Ohio ulipinga Uhalalishaki wa Marijuana, baada yake B.o.B aliachia audio ya "Roll Up" ambayo ndani yake ilikuwa na mistari kuhusu Marijuana na kunywa.
Leo ameachia video ya Roll Up ambapo ndani yake B.o.B anaonekana mwenye furaha akiwa na Marko Penn pamoja na baadhi ya marafiki wakiwa wanakunya na kutumia Marijuana
Shuka chini kuangalia video hio
0 comments :
Post a Comment