Kuna taarifa zimeenea usiku huu kuwa Mzee Small kafariki, hizo taarifa
si za kweli bali ni uongo mtupu ulio sambazwa mitandaoni.
Mwandishi wa habari hizi ameongea na mtoto wake usiku huu aitwae
Mahamoud na kuthibitisha kuwa baba yake yuko hai hajafariki na kusema:
"Baba ni mzima na wala hajafariki kwani nimetoka kumjulia khali
mda si mrefu na ni mzima anaendelea vizuri na hizo taarifa ni za uongo."
0 comments :
Post a Comment