.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Jux amuandikia mpenzi wake Jackie Cliff ujumbe mzuri katika siku yake ya kuzaliwa


Bahari tulivu haimpimi vyema nahodha, na raha aka bata hazimpimi rafiki ama mpenzi wa kweli! Kama umekubaliana na sentensi hiyo basi tutaungana kuwa Jux ana mapenzi ya kweli kwa Jackie Cliff ambaye hivi sasa yuko mahabusu nchini China akikabiriwa na kesi nzito baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya Heroin.
Member huyo wa kundi la Wakacha na mwimbaji wa 'Uzuri Wako', Juma Jux aka Jux ameikumbuka vyema siku ya leo kuwa ni siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake Jackie Cliff na akaamua kumuandikia ujumbe mzuri ikiwa ni pamoja na kumtakia ‘Happy Birthaday’
HAPPY BIRTHDAY MAMIE Was good talking to you and i am so happy kuwa sababu ya tabasamu lako words can't explean wat u mean to me only god knows. today is your day HBD my lv.” Jux ameandika kwenye Instagram akiwa amepost picha ya Jackie Cliff akitabasamu hadi mwisho.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad