Vibe inakuletea list ya mastaa wakali ambao wanapogusa
camera au mtu yoyote kutaka kuwapiga picha basi tegemea picha moja kali
sana na hii ndio maana nzima ya mrembo kuwa photogenic.Mastaa
waliofanikiwa kuingia katika list ni :-
Jokate Mwengelo |
Linah Sanga |
Elizabeth Michael (Lulu) |
Rita Paulsen
|
Jackline Wolper |
Wema Sepetu |
Irene Uwoya |
0 comments :
Post a Comment