.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

PUB ya Aunty Ezekiel na Demonte yafungwa.


PUB ya Aunty Ezekiel na Demonte yafungwa. Chanzo chadaiwa kuwa usimamizi mbovu
Pub ya mwanadada Aunty Ezekiel iliyopo maeneo ya mwananyamala inasemekana imefungwa kutokana na kukosa management ya uhakika na pia kinachodaiwa kushindwa kwa Aunty Ezekiel kuiendesha Pub hiyo.
Kwa mujibu wa habari toka chanzo chetu kimoja cha habari kilichoshuhudia Pub hiyo ikiwa imefungwa kwa miezi kadhaa sasa zinasema kuwa chanzo kikubwa cha kufungwa kwa Pub hiyo ni gharama za vinywaji na wafanyakazi aliowaajiri zilikuwa juu  na ndipo aunty akaona bora afunge kwa muda.
Tunamtafuta Aunty Ezekiel ili atueleze vizuri kuhusu kusimama kwa huduma katika Pub hiyo iliyokama jiji pindi ilipofunguliwa.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad