.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

"NATAKA KUJIUNGA NA ARSENAL'' MORATA




Kwa muda wa takribani miezi 7 Arsenal wamekua wakimfatili mshambuliaji Alvaro Morata wa klabu ya Real Madrid inayoshiriki ligi kuu Hispania. sasa umefika muda muhafaka wa arsenal kushangilia Matunda ya subira yao ya muda mrefu baada ya mchezaji huyo kulazimisha usajili wake wa kutua katika klabu ya Arsenal katika majira ya joto


Arsenal wapo karibu kufanya usajili wao wakwanza majira ya Joto. Kwa mujibu ya Kick Socca (Tovuti ya hispani), Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amefanikiwa kumshawishi  Morata kujiunga na Arsenal yake katika usajiri wa majira ya Joto baada ya kumshawishi kwa takribani nusu mwaka.

Morata ameamua kufikia uamuzi huo wa kujiunga na Arsenal baada ya kukaa bechi sana ndani ya Madrid ambapo anagombania namba moja na Karim Benzema huku kukiwa na mshambuliaji mpya aitwae Rodriguez.

  Katika majira ya Baridi, Arsenal walijaribu kumsajiri Morota, ila usajiri huo ulipigwa na kocha wa Real madrid Carlo Ancelotti na Raisi wa timu io Florentino Perez, Ila sasa hivi mchezaji huyo anawalazimisha Viongozi wa timu io wamruhusu kujiunga na Arsenal katika usajiri wa Majira ya Joto

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad