Bado
hapigiki: Floyd Mayweather akipambana na Marcos Maidana alfajiri ya
kuamkia leo ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas Marekani katika pambano la
uzito wa Welter. Mayweather alishinda kwa pointi, lakini alitolewa jasho
na mpinzani wake huyo
Maidana akimtupia konde Mayweagther
Hii ni mieleka? Maidana akimchezea rafu Mayweather
Bado mali yake: Mayweather akisherehekea na mataji yake baada ya pambano
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment