.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

AUNT EZEKIEL: "WEMA Anafaa kuwa Mke"

Aunti Ezekiel ni miongoni wa wakali wa sinema za Kibongo, Hivi karibuni Aunt Ezekiel amemmwagia sifa shosti yake Wema Sepetu na kudai anafaa kuwa mke kama alivyo yeye sasa.
Aunt alisema Wema anajua mapenzi ya dhati, anajali, mcheshi na anajua kuishi maisha tofauti tofauti, na sivyo kama  watu wengi wanavyofikiria kwamba yeye ni mtu wa maisha ya raha.
aunty
“Siyo kwamba namsifia lakini Wema anafaa kuwekwa ndani, unajua watu wanashindwa kujua tu kwamba Wema nje ya ustaa wake anajua kuhimili maisha, anafaa kuolewa,” alisema Aunt.

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad