Kwa mwaka 2014 ambao zimebakia siku chache tuweze kuuzika na
kuukaribisha mwaka 2015 kuna baadhi ya mastaa wameweza kuweka jam kwenye
mitandao ya kijamii na kufanya internet kwenda likizo kwa muda, kama
rapper Jay Z (45) na Mke wake Beyonce (33) walivyoingia kwenye tetesi za
kutaka kuachana, tifu la Solange na Jay Z kutibuana kwenye lift pamoja
na picha zao balaa na kwa upande wa rapper Kanye West (37) na model wake
Kim Kardashian (34) inasemekana cover lao la Vogue waliuza zaidi ya
kopi 150,000.
.
.
shop now
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment