Askari wa kike alipigwa risasi baada yakufika katika barabara hii ili kuchunguza Ajari ya Barabarani |
Waauguzi wakimpeleka msafi mitaa alipata majeraha baada ya shambulio lilopelekea kifo cha Askari wakike huko Paris |
Polisi wanaelezea kwa kusema kwamba wote walikua katika hali mbaya mara tu baada ya kupigwa risasi.Shambulio hilo limetokea ndani ya saa 24 baada ya shambulio la jana katika ofisi za magazeti ya vikatuni ya Charlie Hebdo jijini Paris, Ufaransa lililoua watu 12 na kujeruhi kadhaa. Bado haijafahamika kama shambulio la leo lina uhusiano wowote na lile la jana.
Risasi iliokutwa katika shambulio hilo huko Montrouge jijini Paris
Ramani inayoonesha Mashambulio yote mawili yaliotokea jijini Paris ndani ya Masaa 24 tu
0 comments :
Post a Comment