Kupitia mtandao wa kijamii wa facebook, akaunti maalum ya kundi la Diamond Platnumz liliwajuza mashabiki wake wanaishi London kuwa Platnumz amekwisha tua na tayari kupiga show siku ya jumamosi..
"London. .Uk .. The Boy is Here..Diamond platnumz Touchdown London...Safe and Ready TO rock the stage @RoyalRegency.. Saturday May 16th ..Diamonds R forever UK. .The official Rugby 7s Afterparty. .You know what to do now .. Get your tickers online or you can pay at the Door...#Bongodeejays #Zurii House of beauty Events ..Get those tickets people it's On!!." waliandika kwenye akaunti ya Wcb Wasafi
0 comments :
Post a Comment