Uliona video ya sekunde 15 ya mwanamuziki Shilole (kwasasa anatamba na kibao chake cha 'Malele'), alipost video katika ukurasa wake wa Instagram kuwasalimu mashabiki wake kwa lugha ya kiingereza (Kwasasa shilole yupo nchini Belgium.)
Shilole na Mziwanda wakiwa katika mgahawa nchini Belgium.
Video hio ya sekunde 15 ilisifiwa na baadhi ya mashabiki huku wengine wakikosoa maneno aliyosema, na wengine waliandika hivi....
"My dear@shilolekiuno go back to school duuu English course is not expensive loooool hahahahahaha very fun it's was a joke or!!!!!!" aliandika #HusseinKaruki
mwingine aliandika hivi
"Practice make perfect,, hata mbuyu ulianza like mchicha,, don't feel shy wen u go wrong or wen u do mistakes,, bcoz Ur trying something new,, keep it up..." aliandika Brenda_mmbando
CHEKI VIDEO HAPA CHINi
Video ilipewa hashtag ya #HelloTanzania, Kupitia ukurasa wa instgram, mshindi wa big brother hotshot 2014, Idris Sultan amepost version yake ya #HelloTanzaniaakiinga mpaka maneno ya shilole....
Cheki video ya Idris Sultan
0 comments :
Post a Comment