Chukua nafasi hii kuangalia Official Video ya "Nabeba Mawe" ya Erick Omondi ambae amefanya remix ya "Nasema Nawe" ya Diamond Platnumz. Video ina wiki moja sasa tangu iwe uploaded Youtube na kujizolea viewers zaidi ya 99,000 na kupewa Likes +1000.
Cheki video alafu tuachie comment yako.
0 comments :
Post a Comment