Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid.
HABARI zilizopokelewa na mtandao wa Nigeriafilms.com zinasema barua-pepe ya mwanamuziki Wizkid imekumbwa na udukuzi.
Kampuni hiyo ndiyo inamsimamia mwanamuziki huyo katika biashara zake zote tangu miezi kadhaa iliyopita.
“Akaunti za ; starboybookings@gmail.com, ayobalogunwizkid339@gmail.com na wizkidayo@gmail.com zinatumiwa na wadukuzi kufanya utapeli na uongo,” ilisema kampuni hiyo na kusema hivi sasa haziko chini ya udhibiti wake na kwamba watu wazipuuze.

Imetaka mawasiliano yote yapelekwa kwa sunday.are@listentertainmentng.com au kupiga simu 08033480122, 08059932155, na 08115975110 ili kupata huduma za Wizkid. Wizkid ni miongoni mwa nyota wa Nigeria kukumbwa na udukuzi wa barua-pepe zao.
0 comments :
Post a Comment