Winner: "Iron Man 3" Ndio filamu iliyotengeneza pesa nyingi zaidi mwaka 2013, Fuatilia hapa kuona zaidi.
Winner:
"Fast & Furious 6" ni filamu yenye muendelezo na mafanikio ya
kipeke sana mwaka huu, Inatabiriwa kuendelea kufanya vizuri ata kwenye
matoleo mengine.Ila
mpaka sasa toleo la saba halijamalizika baada ya kupata msiba wa Paul
Walker.
Winner: "Gravity"
Imefanya vizuri mwisho wa mwaka hu na itapokea zawadi zaidi mwakani.
Winner: Tom Hanks ameshangaza dunia mwaka huu kwa kufanya vizuri zaidi kwenye "Captain Phillips" na
"Saving Mr. Banks." na tuzo zake mwakani zitakuwa nyingi zaidi.
Winner: Melissa McCarthy amekuwa na mwaka mzuri kupitia filamu kama "Identity Thief" na "The Heat."
Winner: Jennifer
Lawrence ameshinda tuzo ya Oscar mwezi wa pili na mwaka
2013 amepata box-office gold kupitia filamu ya The Hunger Games: Catching Fire na American Hustle .
Winner: Matthew McConaughey amepongezwa kwa filamu zake kubwa mbili za mwaka 2013 ambazo ni "Mud" na "Dallas Buyers Club."
Winner: Amy
Adamsameigiza kama Lois Lane kwenye filamu ya "Man of Steel" na kushinda
tuzo kupitia filamu ya "American Hustle." na amecheza kwenye filamu ya
"Her."
Winner: kwenye "12 Years a Slave" ni moja ya filamu iliyohusu wa Amerika weusi nakuchezwa na Lee Daniels aliyekuwepo kwenye The
Butler. Imekuwa na mafanikio mwaka huu.
Winner: akiwa na miaka 77, star Robert Redford amepokelewa vizuri na kufanya vizuri na filamu yake mpya ya "All Is Lost."
Winner:
"Despicable Me 2" ndio filamu ya animation iliyofanya vizuri na kuwa na
mauzo makubwa zaidi mwaka huu hata kuishinda "Monsters University."
Loser: Waliwekeza pesa nyingi sana kwenye hii filamu "The Lone
Ranger" ila mpaka sasa haijatengeneza hata dolla milioni $100 million.
Loser: Ryan
Reynolds kwenye movie zake mbili ambazo ni "R.I.P.D." na "Turbo" hazikufanya kama alivyo tegemea.
Loser: Washington.
ilifunnikwa vibaya sana na filamu ya "Olympus Has Fallen" na kupewa changamoto na "White House Down" ndio maana ilifeli.
Loser:
"After
Earth" Mwongozaji wa filamu hii M. Night Shyamalan hakuwa na mategemeo
makubwa ya filamu ile baada ya kuitoa muda mbaya kwenye soko na hata
baada ya kuweka stars wakubwa kama Will Smith Na Mtoto wake haikufanya
vizuri.
Loser:
"Man of
Steel, Star Trek Into Darkness na Pacific Rim" zote ni stori moja iliyo
hadithiwa tofauti. Ukiona moja huna haja ya kuona nyingine.
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment